Mabaraza ya Katiba Kuanza Mwezi June 2013 - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 4 February 2013

Mabaraza ya Katiba Kuanza Mwezi June 2013


Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mkutano na waandishi wa vyombo vya habari aliokutana leo katika ofisi za Tume hiyo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.Picha na Tume ya Mabadiliko ya Katiba

No comments:

Post a Comment