Dr. JAKAYA KIKWETE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 7 February 2013

Dr. JAKAYA KIKWETE KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanasheria katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi  Mhe Fakihi Jundu, Jaji January Msofe, Spika Anne Makinda, Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Mathias Chikawe na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Mecky Sadik baada ya kuhutubia katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mahakimu katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mchungaji Christopher Mtikila katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania jijini. Kushoto ni Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman
 Viongozi wa dini ya Kihindu wakielekea kwenye kipaza sauti ili kuomba wakati wa  maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania . Viongozi wa dini za Kiislamu na Kiktristo pia walishiriki kwenye maadhimisho hayo.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama ya Rufaa katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na majaji wakuu wastaafu na viongozi wengine katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu  Rais wa Mawakili Februari 6, 2013  katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania. Picha kwa hisani ya IKULU.

No comments:

Post a Comment