AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA AMKA MILIONEA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 7 February 2013

AIRTEL YATANGAZA WASHINDI WA AMKA MILIONEA

 Meneja uhusiano wa Airtel Bw. Jackson Mmbando akitangaza washindi wa promosheni ya Amka millionea kwa mwenzi wa Februari ambapo wateja 40 wameamka mamilionea, kulia ni Afisa uhusiano wa Airtel Bi. Jane Matinde
  Meneja uhusiano wa Airtel Bwana Jackson Mmbando akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa promosheni ya Amka millionea mara baada ya kujaza fomu za uhakiki wa ushindi wa promosheni hiyo.

No comments:

Post a Comment