WILHELM GIDABUDAY NA MAVAZI YA HOME - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 14 January 2013

WILHELM GIDABUDAY NA MAVAZI YA HOME

Wilhelm Gidabuday akipozi na mavazi ya nyumbani kwao Hanang ,mkoani Manyara,akipiga picha na gari la Mkurugenzi wa Wazalendo 25 Blog Bw. Gadiola Emanuel Jijini Arusha.
Huyu ndie Wilhelm Gidabuday mdau mkubwa , mzalendo na mwanaharakati wa michezo Tanzania ,hususan Riadha.

No comments:

Post a Comment