WAJUMBE WA SEKRETARIETI WAKAGUA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE KIGOMA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 28 January 2013

WAJUMBE WA SEKRETARIETI WAKAGUA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE KIGOMA

 
Wajumbe wa Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Katibu Mkuu, Abdulrahman Kinana Jumapili ya Januari 27, 2013 walitembelea Uwanja wa Ndege wa Kigoma na kujionea shughuli mbalimbali za uwanjani hapo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa uwanja huo unaoendelea hivi sasa.

Pichani juu: Katibu wa Siasa na Mahusiano ya Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akisalimian an Mkuu wa Wilaya ya Kibondo na kada wa CCM, Venance Mwamoto baada ya kuwasili uwanjani hapo. Chini ni Katibu Mkuu, akisalimiana na DC Venance Mwamoto wa Kibondo.  
Meneja wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma, Mhandisi Elipid Tesha akitoa maelezo ya uwanja huo kwa sekretariet ya CCM.
Mhandisi kutoka kampuni ya Howard Humphrey Cleopa Mpembeni, akielezea maemdeleo ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kigoma.
Sehemu ya mradi huo wa upanuzi na kuongeza njia ya kurukia ndege.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye  akiendesha Buldoza 'kijiko' cha kampuni ya Haward Humphrey inayojenga Uwanja wa ndege Kigoma. Na Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment