SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA ATEMBELEA BALOZI LETU DRC CONGO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 25 January 2013

SPIKA WA BUNGE LA TANZANIA ATEMBELEA BALOZI LETU DRC CONGO

 Jengo la Ubalozi. Jengo hili lipo kando ya barabara kuu Kinshasa, eneo maarufu kwa biashara.
 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwasili kwenye Ubalozi wa Tanzania DRC na kusalimiana na watendaji wa ubalozi huo baada ya kupokelewa na Kaimu Balozi Mhe. Hemed Mgaza (kushoto) Spika Makinda ameandamana na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Azzan Zungu. Spika Makinda ameshauri kuwa wakati umefika kwa balozi zetu kuwezeshwa ili zijitegemee.
 Spika Anne Makinda akisalimiana na wafanyakazi wa Ubalozi
 Spika akisaini Kitabu cha wageni
 Makamu Mwenyekiti  Mhe. Zungu akisaini kitabu cha wageni
Wajumbe kaamati maalum wakiendelea na mkutano wa FP/ICGLR
Picha ya Pamoja na wafanyakazi

No comments:

Post a Comment