MAMA SALMA KIKWETE AHITIMISHA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA AFYA YA UZAZI JIJINI ARUSHA. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Friday, 18 January 2013

MAMA SALMA KIKWETE AHITIMISHA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA AFYA YA UZAZI JIJINI ARUSHA.


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete akizungumza wakato akifunga kongamano la Kimataifa la Afya ya Uzazi la siku 3 Katika ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa AICC mjini Arusha leo, Kongamano hilo lilewashirikisha wataalamu wa masuala ya afya ya uzazi wapatao 800 kutoka mataifa mbalimbali ulimwenguni.
Naibu Wazirii wa Afya,Dkt. Seif Rashid (Kulia) ,Waziri wa Afya Zanzibar,Dkt. Juma Haji Duni (kati) na Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magesa Mulongo wakifuatilia Kongamano hilo.
 
Baadhi ya wataalamu wa kongamano la Kimataifa la afya ya uzazi wakimsikiliza Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA , Mama Salma Kikwete (hayupo pichani wakati wa kufunga kongamano hilo leo jijini Arusha, ambapo wataalamu wa masuala ya afya ya uzazi zaidi ya 800 kutoka ndani na nje ya nchi wamehudhuria.
Waziri wa Wizara ya Afya Zanzibar,Dkt. Juma Haji Duni akiongea katika kongamano hilo jijini Arusha.kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Mh. Magessa Mulongo
Mke wa Rais na Mwenyikiti wa Taasisis ya WAMA ,Mama salma Kikwete (alievaa kitenge) akiongozana na watendaji wakuu wakielekea kwenye Ukumbi wa Mikutano wa AICC jijini Arusha.
Mama Salma Kikwete akifurahia ngoma ya msanja ya kikundi cha akina mama huko Arusha.
Picha ya pamoja na watendaji wakuu wa kongamano la Kimataifa la Afya ya Uzazi.Picha zote na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments:

Post a Comment