| Huyu ni mtoto Glory Gadiel.........!!! ,ni mtoto wa CEO wa wazalendo 25 blog ,leo ametimiza Mwaka mmoja toka azaliwe. Mungu wa mbinguni amtunze ,kumpa afya na kumkuza katika Jina la Yesu. mimi baba yako na Mama yako Tunakupenda sana na tuna ahidi kukulea katika malezi mema na yenye kumtukuza Mungu. HAPPY BIRTH DAY GLORY..!!! |
Magazetini Leo Desemba 12, 2025; Maisha ya Ughaibuni si lele mama, Yatisha
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
1 hour ago
No comments:
Post a Comment