LADY JAY DEE NA GADNER G HABASH KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 8 January 2013

LADY JAY DEE NA GADNER G HABASH KUELEKEA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO

 Msanii maarufu kama Lady J Dee a.k.a Binti Mchozi baada kufika mkoani Arusha na mumewe Gadner G  kwa kuajili ya kuupanda mlimani Kilimanjaro sasa katika safari yao wa kuupanda mlimani huo walipitia katika njia ya Marangu na safari hiyo ni ya siku sita huku ikiongozwa na kampuni ya Kilidove Tours na Safari Ltd ya Arusha.

Hizi ni baadhi ya picha wakiwa katika safari yao.



Lady jay Dee akipata picha katika pozi la nguvu! Source: na Dj Fetty Blog

No comments:

Post a Comment