DR. JAKAYA KIKWETE AMALIZA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI UFARANSA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

Thursday, 24 January 2013

DR. JAKAYA KIKWETE AMALIZA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI UFARANSA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete amemaliza ziara yake ya Kiserikali ya Siku tano nchini Ufaransa , Januari 23, 2013. Zifuatazo ni picha mbalimbali wakati akiagwa na mwenyeji wake, katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Orly, Ufaransa

No comments:

Post a Comment