BERNARD MEMBE AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MTENDAJI WA SADC - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 28 January 2013

BERNARD MEMBE AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MTENDAJI WA SADC


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Bernard Membe anasisitiza jambo wakati alipokuwa anafanya mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC, anayefuata baada ya Mhe. Waziri ni Mhe. Joram Biswaro, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia na Balozi Vincent Kibwana, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,(kushoto) Mhe. Bernard K. Membe (Mb)akibadilishana mawazo na Katibu Mtendaji kulia) wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) walipokutana nchini Ethiopia katika mkutano wa AU.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Waziri Bernard Membe (kulia) akisikiliza jambo kutoka kwa Mhe. Joram Biswaro, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia nje ya ukumbi wa mkutano mjini Addis Ababa. mwingine katika picha ni mmoja wa ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa AU.Picha na Zote na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

No comments:

Post a Comment