TUZO YA UTENDAJI BORA KUTOKA ASSOCIATIONS OF TANZANIA AWARDS 2012 YAENDA KWA AIRTEL - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 13 December 2012

TUZO YA UTENDAJI BORA KUTOKA ASSOCIATIONS OF TANZANIA AWARDS 2012 YAENDA KWA AIRTEL


 MKURUGENZI WA RASILIMALI WATU WA AIRTEL Bw, PATRICK FOYA AKIWA AMESHIKILIA CHETI NA TUZO HIYO YA UTENDAJI BORA WALIOJISHINDIA JANA NA KUKABIDHIWA NA MH. RAIS DKT, JAKAYA KIKWETE
 AIRTEL WAIBUKA KIDEDEA NA TUZO YA UTENDAJI BORA (Performance Management)

TUZO YA KWANZA KULIA NDIO YA UTENDAJI BORA (Performance Management) ILIYOONGEZEKA  KATIKA DIPLAY/KITUNZA TUZO CHA AIRTEL MAKAO MAKUU LEO.
 
TUZO HIZI ZIMEANDALIWA NA ASSOCITION OF TANZANIA EMPLOYERS (ATE) NA KUKABIDHIWA KWA WASHINDI NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT, JAKAYA MRISHO KIKWETE.

SHUKRANI TOKA AIRTEL
 
AIRTEL TANZANIA INACHUKUA FULSA HII KUWASHUKURU WATANZANIA WOTE WANAOENDELEA KUFURAHIA HUDUMA BORA KUTOKA AIRTEL, TUZO HII YA UTENDAJI BORA YA 2012  NI KWAAJILI YETU SOTE, HIVYO ENDELEA KU-ENJOY UHURU WA KUONGEA UKIWA  AIRTEL. BADO TUNASISITIZA KUWA AIRTEL ITAENDELEA NA MPANGO WAKE WA KUTOA MAWASILIANO NAFUU NA YENYE UHAKIKA ZAIDI MWAKA UJAO WA 2013.
Source: Na Father Kidevu Blog

No comments:

Post a Comment