Matukio :Rais Aaagana na Balozi wa Uturuki, Tanzanaia Uholanzi na Zimbabwe na kuonana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB ,Ikulu Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Aug 2015

Matukio :Rais Aaagana na Balozi wa Uturuki, Tanzanaia Uholanzi na Zimbabwe na kuonana na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya NMB ,Ikulu Dar

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 27,2015. 
 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Balozi mpya wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Irene Florence  Mwawa Kasyanju na Balozi mpya wa Tanzania nchini Zimbabwe Luteni Jenerali Charles Lawrence Makakala
walipofika kumuaga Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 27,2015.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker baada ya kumwelezea kuhusu kadi ya MASTERCARD ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 27, 2015.
  Rais Jakaya Mrisho kikwete akioneshwa na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker baada ya kumwelezea juu ya kadi hiyo ya  MASTERCARD ambayo ni huduma mpya ya kisasa iliyoingizwa nchini na benki ya NMB wakati kiongozi huyo wa benki hiyo alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam Agosti 27, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa katika picha ya pamoja  na Mkurugenzi Mkuu wa Microfinance Bank Plc (NMB)  Bi Ineke Bussemaker pamoja na maafisa wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad