Watoto wa Wafanyakazi wa NMB kutoka
Matawi mbalimbali jijini Dar Wakiwa katika michezo mbalimbali ndani ya
hotel ya South Beach Kigamboni katika Siku ya familia ya NMB
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wakiwa
na Familia zao katika siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana katika
Hotel ya South Beach Kigamboni
Muda muafaka wa Maakuli,
Wafanyakazi na Familia zao wakiwa katika foleni ya Chakula wakati wa
kusherehekea siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana Kigamboni katika
hotel ya South BeachKutoka Kushoto ni Dafrosa
Mkami kutoka NMB Mwenge akifuatiwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko na
Mawasiliano Bw Iman Kajula, Mkuu wa Kitengo cha Benki Binafsi Bw
Abdulmajid Nsekela na Mmiliki wa Lukaza Blog ambaye pia ni Mfanyakazi Wa
NMB Songambele Bw Josephat Lukaza wakiwa katika Picha ya Pamoja katika
Siku ya Familia ya NMB iliyofanyika Jana katika Hotel ya South Beach
Kigamboni
Dafrosa Mkami (Wa Kwanza Kushoto)
Kutoka NMB Mwenge akiwa katika picha ya Pamoja na rafiki zake katika
siku ya familia ya NMB iliofanyika jana Katika hotel ya South Beach
Kigamboni
Muimbaji Mahiri kutoka SKYLIGHT BAND
Aneth Kushaba aka AK 47 akiimba kwa hisia wakati alipokuwa akitoa
burudani ndani ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana Kigamboni
Anneth Kushaba aka AK 47 wa SKYLIGHT
BAND na timu yake nzima ikitoa burudani ndani ya siku ya familia ya NMB
iliyofanyika South Beach Kigamboni
Ngongoti naye hakuwa nyuma katika kuyarudi mangoma kutoka kwa bendi ya Skylight
Aneth Kushaba aka AK 47 akikata mauno
haswa wakati bendi ya Skylight ilipokuwa ikitoa burudani kwa familia za
NMB zilifika katika sherehe ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana Mary Lucas akiimba kwa hisia wakati wa sherehe ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika Katika Hotel ya South Beach jana
Mary Lucas wa skylight bendi akicheza na shabiki wake ndani ya hotel ya south beach wakati wa siku ya familia ya NMB.
Wafanyakazi na familia zao wakicheza
kwaito katika sherehe za siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana katika
hotel ya South Beach Kigamboni
Wafanyakazi wa kutoka NMB Songambele
wakibadilishana mawazo wakati wa Sherehe ya Siku ya Familia ya NMB
iliyofanyika jana South Beach Kigamboni. Picha zote na Josephat Lukaza
Wa Lukaza Blog.
He is a Tanzanian Journalist , Editor and blogger of Wazalendo 25 Blog which operate since 2006 ; covering International and Local News, including Politics, Sports, Athletics, Movies, Events, personalities and positive news happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English Audience.
-
[image: Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio]
Tumore prostatico: la prognosi in base a stadio, grado e rischio
alt=”” class=”w...
No comments:
Post a Comment