BENKI YA NMB NDANI YA 'NMB FAMILY DAY' - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Tuesday, 18 December 2012

demo-image

BENKI YA NMB NDANI YA 'NMB FAMILY DAY'


DSCF3735
DSCF3778 DSCF3777
Watoto wa Wafanyakazi wa NMB kutoka Matawi mbalimbali jijini Dar Wakiwa katika michezo mbalimbali ndani ya hotel ya South Beach Kigamboni katika Siku ya familia ya NMB
DSCF3740
Baadhi ya wafanyakazi wa NMB wakiwa na Familia zao katika siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana katika Hotel ya South Beach Kigamboni
DSCF3744 DSCF3747 Muda muafaka wa Maakuli, Wafanyakazi na Familia zao wakiwa katika foleni ya Chakula wakati wa kusherehekea siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana Kigamboni katika hotel ya South Beach DSCF3786 Kutoka Kushoto ni Dafrosa Mkami kutoka NMB Mwenge akifuatiwa na Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Bw Iman Kajula, Mkuu wa Kitengo cha Benki Binafsi Bw Abdulmajid Nsekela na Mmiliki wa Lukaza Blog ambaye pia ni Mfanyakazi Wa NMB Songambele Bw Josephat Lukaza wakiwa katika Picha ya Pamoja katika Siku ya Familia ya NMB iliyofanyika Jana katika Hotel ya South Beach Kigamboni
DSCF3797
Dafrosa Mkami (Wa Kwanza Kushoto) Kutoka NMB Mwenge akiwa katika picha ya Pamoja na rafiki zake katika siku ya familia ya NMB iliofanyika jana Katika hotel ya South Beach Kigamboni
DSCF3762
Muimbaji Mahiri kutoka SKYLIGHT BAND Aneth Kushaba aka AK 47 akiimba kwa hisia wakati alipokuwa akitoa burudani ndani ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana Kigamboni
DSCF3760
Anneth Kushaba aka AK 47 wa SKYLIGHT BAND na timu yake nzima ikitoa burudani ndani ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika South Beach Kigamboni
DSCF3758
Ngongoti naye hakuwa nyuma katika kuyarudi mangoma kutoka kwa bendi ya Skylight
DSCF3815
Aneth Kushaba aka AK 47 akikata mauno haswa wakati bendi ya Skylight ilipokuwa ikitoa burudani kwa familia za NMB zilifika katika sherehe ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana DSCF3824   
Mary Lucas akiimba kwa hisia wakati wa sherehe ya siku ya familia ya NMB iliyofanyika Katika Hotel ya South Beach jana
DSCF3828
Mary Lucas wa skylight bendi akicheza na shabiki wake ndani ya hotel ya south beach wakati wa siku ya familia ya NMB.
DSCF3821
DSCF3819
Wafanyakazi na familia zao wakicheza kwaito katika sherehe za siku ya familia ya NMB iliyofanyika jana katika hotel ya South Beach Kigamboni
DSCF3773
Wafanyakazi wa kutoka NMB Songambele wakibadilishana mawazo wakati wa Sherehe ya Siku ya Familia ya NMB iliyofanyika jana South Beach Kigamboni. Picha zote na Josephat Lukaza Wa Lukaza Blog.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *