WIZARA YA MAMBO YA NJE YATOA MAFUNZO YA OPRAS KWA WAKURUGENZI NA MAAFISA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 13 December 2012

demo-image

WIZARA YA MAMBO YA NJE YATOA MAFUNZO YA OPRAS KWA WAKURUGENZI NA MAAFISA

OPRAS+088
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano, Mhe. Balozi Rajab Gamaha (aliyesimama) akifungua Mafunzo ya Upimaji wa Utendaji Kazi kwa Uwazi (OPRAS) kwa Wakurugenzi na Maafisa wa Wizara yaliyoendeshwa na Wakufunzi kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma. Wengine katika picha kutoka kushoto ni Bw. Dushhood Mndeme, Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu katika Wizara ya Mambo ya Nje, Bi. Neema, Mkufunzi kutoka Utumishi na Bi. Elizabeth Makyao kutoka Utumishi.
OPRAS+108
Bi. Elizabeth kutoka Utumishi akiwasilisha mada kuhusu mfumo huo wa upimaji kazi kwa njia ya uwazi (OPRAS) kwa Wakurugenzi na Maafisa wa Wizara (hawapo pichani) huku Bal. Gamaha, Bw. Mndeme na Bi. Neema wakimsikiliza.
OPRAS+096
Bi. Neema kutoka Utumishi akisisitiza jambo kuhusu mafunzo hayo kwa Wakurugenzi na Maafisa wa Wizara (hawapo pichani) huku Balozi Gamaha akisikiliza.
OPRAS+085
Baadhi ya Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo.
OPRAS+094
Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo  na Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakifuatilia mafunzo hayo.
OPRAS+100
Sehemu nyingine ya Watendaji Wakuu kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakifuatilia mafunzo hayo.
OPRAS+098
Baadhi ya Wakuu wa Vitengo na Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje walioshiriki mafunzo hayo.
OPRAS+097
Maafisa Waandamizi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakiendelea na mafunzo ya OPRAS.
OPRAS+102
Baadhi ya Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakifuatilia kwa makini mafunzo hayo ya OPRAS.
OPRAS+101
Maafisa wengine wa Mambo ya Nje wakiendelea na mafunzo ya OPRAS. Chanzo na : www.issamichuzi.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *