DR. MWAKYEMBE AWATUNUKU VYETI WANACHUO CHA NIT - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 24 November 2012

DR. MWAKYEMBE AWATUNUKU VYETI WANACHUO CHA NIT


 Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(Kulia kwa Mkuu wa Chuo), akisikiliza maelezo ya maendeleo ya Jengo Jipya la Chuo Cha Usafirishaji(NIT) kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho, Mhandisi.Dkt. Zacharia Mganilwa (aliyevaa suti ya Kaki), wakati Waziri wa Uchukuzi alipotembelea Chuoni hapo Leo Mchana kutunuku Stashahada za Juu, Stashahada za Kawaida na Shahada mbalimbali katika mahafali ya 28 ya Chuo hicho.
Mkuu wa Chuo cha Usafirishaji(NIT), Mhandisi, Dkt. Zacharia Mganilwa(aliyevaa suti ya Kaki), akimuonyesha Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe(Kulia kwa Mkuu wa Chuo), eneo ambalo Chuo kimelitenga kwa ajili ya wenye Magari watakaomua kupaki magari yao na kwenda kutumia Usafiri wa Treni inayotoka Ubungo kuelekea Stesheni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment