Hii ni Timu nzima ya BENSON Company wakipata picha ya pamoja na kushangilia ushiriki wao kwenye mashindano ya riadha yaliyofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. |
Salma Dahal akiwa na Rafiki yake ,akimpongeza kwa kuibuka kipaji kipya kwenye mashindano haya. |
Salma Dahal akipongeza kwa kushiriki mashindano ya riadha jijini Arusha. |
Salma akijitahidi kumkimbiza mmoja wa wanariadha wa timu ya Serena Hotel. |
Timu nzima ya Serena Hotel wakipata picha ya pamoja na pia kushangilia ushiriki wao. |
Wanariadha wakipiga ya pamoja na kushangilia ushiriki wao. |
No comments:
Post a Comment