MR & MRS JACOB JAMES WEDDING IN ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 10 September 2012

MR & MRS JACOB JAMES WEDDING IN ARUSHA

Wasanii wa Bongo Movies wakiwa jijini Moshi kusaka vipaji vipya vya tasnia hiyo,ndani ya Serengeti Fiesta 2012
Hapa Bi. Bahati akikubali kuolewa na Jacob
Jacob akisema ,Chukua pete hii iwe..........
Bi. Bahati ...pokea pete hii Jacob iwe.......katika ndoa yetu
Alicho kiunganisha Mungu mwanadamu asi...........
Pozi zito ...alitokelezeaa mbayaaaaaaa....
Signaturessssssssssssssss.........................by Jacob James
Mrs...na wewe anguka signature hapo....................!!!
Mr. & Mrs Christopher wakisubiria kwa hamu hivyo vyetu ili wakabizi kwa.............!!!
Picha ya pamoja na Mchungaji wa kanisa la CHRIST CHURCH ambako shughuli hii ilifanyika ,njia ya mahakama kuu ya Arusha.
Ukumbi wa wazi maeneo ya kwangulelo Arusha
Meru view 
Big stage for important..............
BIG CAKE PLUS BOTTLESSSSSS..........
Wageni waalikwa
................if God says yes.............
Hata sasa Umeweza ......!!!!!
NI CHUM MWAAAAAAAAAA...........!!!!
CHEEEEEEEEEEEERRRRRRRRSSSSSSSSSSSSSSSSS
DOMO KAYA WAS THERE................!!!!
DOMOKAYA plus C.E.O of wazalendo 25 blog 
Domo kaya na warembooooooooooooooozzzzzzzzzzzzzz
Blue and Orange coloursssssssssss
Mama au Shangazi wa Jacob James na Mlezi Mkuu
KEKI YA NDAFU LAZIMA KWA UKANDA HUU WA KASKAZINI.
Jamani Jacob James ....Nakupenda wewe...????
Nakupenda Mama Mlezi wa Mume wangu...!!
Cake ya Unga hii hapa...!!!
HADI KIFO KI TA KA PO TU TE NGA NI SHA...!!!
Chukueni jamani keki hii,baba na mama wa Mke wangu Kipenzi Bahati.
KWA HESHIMA NA TAADHIMA ..TUNAWAPENDA SANA.....!!!!
MR CHRISTOPHER AKICHEKI MBOGA MBOGA...
MR & MRS JACOB JAMES WAKIFURAHIA MAANJUMATI ..............WEWE ACHA TU...!!!
HIKI CHAKULA KITAKUA KITAMU SANA...
MAMAAA SOGEA NICHUKUE PILIPILI...........!!!
MR. & MRS CHRISTOPHER WAKICHUKUA CHAKULA KWA POZI

MAMA JACOB MLEZI AKICHUKUA CHAKULA.........
KULA TUUUUUUUUUUUU.......
KULA KWA KWNEDA MBELE........!!!!!
KUCHEZAAAAAAAAAAAAAAA
Kwa heriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.......

PICHA NA MAADISHI NA  Gadiola Emanuel (0755 643 633 /0715 643 633)

No comments:

Post a Comment