MHE. ZITTO KABWE UBUNGE SASA BASI... - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


28 Sept 2012

MHE. ZITTO KABWE UBUNGE SASA BASI...

Narudia, mwaka 2015 sitagombea Ubunge. Nitafanya kampeni ya Urais, ama mimi kama mgombea wa CHADEMA au kama mpiga debe wa mgombea wa CHADEMA. Miaka 10 ya Ubunge inatosha na kwa ngazi hiyo ni vema niwaachie wengine wasukume mbele gurudumu la maendeleo ya Jimbo na mkoa wetu. Huu ndio uamuzi wangu wa mwisho na nimeshawaeleza wananchi wa Jimbo langu na mkoa wa Kigoma toka mwaka 2005.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad