Msafara wa aliekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini ukitokea mahakamani kuelekea katika ofisi za chama
Gari la MOVEMENT 4 CHANGE ukiwabeba washabiki waliotoka kusikiliza kesi ya aliekuwa mbunge wa jiji la Arusha,Mh. Godbless Lema. |
Msafara wa aliekuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjini-Chadema Godbless Lema ukitokea mahakamani.
Gari ya aliyekua mbunge wa Arusha mjini(CHADEMA) Mh. Godbless Lema likiwa linasukumwa na mashabiki baada ya kutoka mahakamani.
No comments:
Post a Comment