Hata sasa lazima Daraja hili la Kigamboni litengenezwe na liwezeshe wananchi wa Tanzania kufaidi kodi zao..!! |
Hili gari lilipinduka likawezesha watu kufaidi kwa mtazamo mwingine.. |
Sina uhakika na haya mafuta kama yatafaa,ila yamewezekana kwa hawa wananchi.. |
Hata sasa nyenzo hii inaweza ikafanikiwa,hata kama msimamizi ni wa kutoka sekondari...!! |
No comments:
Post a Comment