MWENGE WA UHURU WAINGIA JIJINI ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 9 August 2012

demo-image

MWENGE WA UHURU WAINGIA JIJINI ARUSHA

IMG_1581
Wananchi waliofika kupokea  mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo.
IMG_1582
Mwenge wa UHURU ukiwa umetulizwa ili wananchi waliofika waungalie kwa umakini jijini Arusha.
IMG_1583
Kiongozi wa mwenge akitoa muongozo jinsi mwenge wa UHURU utakavyo kimbizwa jijini Arusha leo.
IMG_1584
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC  jijini Arusha
IMG_1585
Waongoza mwenge wakitoa muongozo jinsi mwenge wa UHURU utakvyo kimbizwa jijini Arusha leo.
IMG_1587
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha
IMG_1589
Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea  mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo.
IMG_1590
Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea  mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo.
IMG_1591
Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea  mwenge wa UHURU jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo.
IMG_1592
Wananchi walioteuliwa kupokea mwenge ,wakiupokea  mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya magorofa ya NHC jijini Arusha leo.
IMG_1594
mwenge eeh mwenge ...mwenge tunaukimbiza.....!!!
IMG_1598
waongoza mwenge wakielekea ndani ya viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha.
IMG_1599
Wananchi wakielekea kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha.
IMG_1600
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha
IMG_1601
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha.
IMG_1602

IMG_1604
wananchi wakiutazama mwenge wa UHURU leo ,jijini Arusha,kwenye viwanja vya chuo cha ufundi cha Arusha
IMG_1605
Mwenge wa UHURU ukiwa umefika kwenye viwanja vya chuo cha ufundi Arusha, jijini Arusha leo.
IMG_1606
Hapa ni mkuu wa msafara akitoa maelekezo kwenye eneo la  chuo cha Ufundi cha Arusha  jinsi watu watakavyo piga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo.
IMG_1607
Hapa ni wanafunzi wa chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo.
IMG_1608
Hawa wote ni wanafunzi wa chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo.
IMG_1610
Hawa ni wanafunzi wa chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo.
IMG_1613
Hawa ni wanafunzi wa chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo.
IMG_1616
Na mimi nilipata nafasi ya kupiga picha na mwenge wa UHURU
IMG_1617
Hapa ni wananchi waliofika katika eneo la chuo cha Ufundi cha Arusha wakipiga picha na mwenge wa UHURU jijini Arusha Leo.
IMG_1618
Hili ndilo Gari lililotumika kubeba mwenge wa UHURU,jijini Arusha Leo.
IMG_1620

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *