Maalim Seif Sharif Hamad Afutuirisha Wana CUF - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 10 August 2012

Maalim Seif Sharif Hamad Afutuirisha Wana CUF

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akitoa shukrani kwa viongozi na watendaji wa CUF walioitikia mwaliko wa futari ya pamoja aliyoiandaa kwa ajili ya viongozi hao huko nyumbani kwake Mbweni, nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Kulia (aliyesimama) ni Mkurugenzi wa habari na haki za binadamu wa CUF Bw. Salim Bimani.
 Baadhi ya viongozi na watendaji wa CUF wakijumuika katika futari ya pamoja iliyoandaliwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye ni Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, huko nyumbani kwake Mbweni.

Picha na Salmin Said-Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar

No comments:

Post a Comment