| Hawa ni wana habari walipokuwa kwenye viwanja vya nane nane Arusha |
| Hili ni banda la Mali Asili na Utalii |
| Banda la maliasili na utalii |
| Banda la Maliasili na Utalii kwenye mambo ya kale. |
| Hili ni banda la Mali asili na Utalii kitengo cha Zamadamu |
| Maelezo ya Utalii wa ndani |
| Geti Kuu la kuingilia Nane Nane Arusha,unatakiwa kulipa Mkubwa 1000/Tshs na Mwanafunzi ni 500/= |
| Hili ni banda la Hospitali ya Teule ya Selian Arusha |
| Hili ni banda la shirika la posta |
| Hili ni banda la LHRC |
| Huku ni ndani ya banda la BOT |
| Banda la BOT ,wananchi wakielezwa jinsi ya kutambua alama mbali mbali ndani ya noti za kitanzania. |
| Mdau wa wazalendo 25 blog Ndugu Daniel Urioh na Justine Urioh wakipata maelezo mafupi ya noti ya Kitanzania |
| Hili ni banda la chuo cha ufundi Arusha |
No comments:
Post a Comment