VUA GAMBA VAA GWANDA ,NA UZINDUZI WA MATAWI YAENDELEA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 6 August 2012

VUA GAMBA VAA GWANDA ,NA UZINDUZI WA MATAWI YAENDELEA ARUSHA

Hii inajieleza yenyewe ...VUA GAMBA VAA GWANDA...Hata usipokubali mdomoni, Rohoni utakubali tu.
Samson Mwigamba (Mwenyekiti wa Mkoa) akizungumza na wakzi wa daraja mbili jijini Arusha,alipokuwa kifungua tawi la CHADEMA katika mtaa wa kati,Daraja mbili Arusha.
Makamanda wakisikiliza kwa umakini ufunguzi hyuo wa tawi la CHADEMA ,mtaa wa kati Daraja mbili,jijini Arusha.
Ajira kwa wa mama, SCARF ziliuzwa pia kwenye ufunguzi huo wa tawi la CHADEMA.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa ,akisisitiza jambo na kuwakaribisha viongozi wa mtaa wa kati, Daraja Mbili jijini Arusha.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa ,akimkaribisha kiongozi wa mtaa wa kati Bw. Simon Kishangiro kwenye ufunguzi wa tawi lake ,eneo la  Daraja Mbili jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ufunguzi wa tawi la CHADEMA ,mtaa wa Kati ,Daraja Mbili jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ufunguzi wa tawi la CHADEMA ,mtaa wa Kati ,Daraja Mbili jijini Arusha.
VUA GAMBA ,VAA GWANDA ...Mwenyekiti akionyesha kadi ya mwanachama wa  CCM aliehamia CHADEMA.
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa  Bw. Samson Mwigamba akipandisha bendera ya CHADEMA kwenye tawi la mtaa wa kati Daraja Mbili jijini Arusha.
Bendera ikiwa inapepea baada ya kupandishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa  Bw. Samson Mwigamba.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ufunguzi wa tawi la CHADEMA mtaa wa Kati ,Daraja Mbili jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ufunguzi wa tawi la CHADEMA mtaa wa Kati ,Daraja Mbili jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ufunguzi wa tawi la CHADEMA mtaa wa Kati ,Daraja Mbili jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika ufunguzi wa tawi la CHADEMA ,mtaa wa Kati ,Daraja Mbili jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment