Mkutano wa CHADEMA wafanyika JIJINI LONDON. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 8 August 2012

Mkutano wa CHADEMA wafanyika JIJINI LONDON.


Hawa ni wanachama wa CHADEMA jijini LONDON, wakipiga picha ya pamoja na aliekuwa mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema.
Hawa ni wadau wa CHADEMA jijini LONDON , wakiongea na aliekua Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema.
Huyu ni mdau wa CHADEMA jijini LONDON , akipiga picha  na aliekua Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema.

Haya ni baadhi ya matukio mbalimbali ya mkutano wa CHADEMA uliofanyika jijini London, ambapo pamoja na wanachama wengi wa CCM kurudisha kadi kwa kuvua Magamba na kuvaa Magwanda, pia ulifanyika uchaguzi wa viongozi wa mpito ambapo CHRIS LUKOSI alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA jijini London na CHRIS CHAGULA alichaguliwa kuwa kaimu katibu na katibu mwenezi wa CHADEMAjijini London.

No comments:

Post a Comment