Taswira Za Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi Alivyopandishwa Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 10 July 2012

Taswira Za Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi Alivyopandishwa Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu

 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi wakati akiingia Mahakamani leo Jijini Dar es Salaam kujibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini..
 
  Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam Kuibu shutuma za uchochezi na kupuuza amri ya mahakama ya kusitisha mgomo wa madaktari unaoendelea nchini..
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi (kulia) akiongozana na baba yake mdogo, Hilary Chinendachi mara baada ya kupata dhama katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo
  Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akipeana mikono na baadhi ya madaktari waliofika kujua hatma yake baada ya kufikishwa Mahakamani kwa kosa la kukaidi amri ya Mahakama ya kutaka kusitisha mgomo wa madaktari.
 Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk Namala Mkopi akiwa na mama yake mzazi (katikati), pamoja na baba yake mdogo, Hilary Chinendachi mara baada ya kuapata dhama katika Mahakama ya Hakimu Makazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Picha Zote na Mdau Dande Francis

No comments:

Post a Comment