Semina ya Kuandaa Mpango wa kazi mwaka 2012 - 13 wa Bunge la Afrika Mashariki waanza Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 11 July 2012

Semina ya Kuandaa Mpango wa kazi mwaka 2012 - 13 wa Bunge la Afrika Mashariki waanza Jijini Arusha

 Wabunge wa Afrika Mashariki Shy Rose Bhanji na mwenzake kutoka burundi wakibadilishana mawazo na na spika wa bunge la Afrika ya Mashariki, Magreth Nzziwa (katikati), kutoka Uganda ambaye ni spika wa kwanza mwanamke toka kuanzishwa tena EAC .
  Spika wa bunge la Afrika ya mashariki, Magreth Nzziwa Nantongo akiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuandaa mpango kazi wa mwaka 2012-13 ya bunge la Afrika ya mashariki.
  Mbunge wa bunge la afrika mashariki Shy - rose Bhanji Akipitia kwa makini makabrasha ya semina ya mpango kazi wa bunge la afrika ya mashariki jijini arusha
 Wabunge wa Bunge la afrika Mashariki wakiwa kwenye semina ya siku mbili ya kuwajengea uwezo na kuandaa mpango kazi wa mwaka 2013 kwenye hotel ya East African jijini Arusha.
Picha zote na Mahmoud Ahmad Arusha

No comments:

Post a Comment