Kamera ya WAzalendo Mitaa ya Usa River, Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 11 July 2012

Kamera ya WAzalendo Mitaa ya Usa River, Arusha

Hapa nasubiria wateja waje wanunue vinywaji na chakula kwa bei ndogo sawa na bure ..dollar 20
Mimi sijui haya maandishi yana maanisha nini? ila nadhani inahusu huu mto hapo mbele...mlioenda shule mtanimbia kwa kiswahili...niandikie kwa  e- mail hii: gadiola25@gmail.com
Mahindi..kilimo kwanza..inahusu maeneo ya usa river Arusha..karibu sana.
Arusha ina maeneo mengi sana yakufanyia video na matukio mbalimbali...unakaribishwa sana.
Huyu ndiye Director wa Wazalendo 25 blog akitamani kuoga ila anaogopa maandishi aliyoyakuta hapo juu
Yaani nimeagiza soda muda mrefu ila hawataki hata kuleta ..au wanaangalia ujio wa mtu....?

No comments:

Post a Comment