Mama Salma Kikwete akipaka rangi katika kituo cha kulelea watoto cha SOS kilichopo Mwenge jijini Dar es salaam.
Mama Salma kikwete akimlisha keki mtoto
mwenye kipaji maalum Innocent Suta kutoka kijiji cha watoto yatima SOS
anaekwenda kusoma huko Ghana
Mama Salma Kikwete akipokea zawadi kutoka kwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni
ya Sadolin nchini ambao walijitolea kupaka rangi vijiji vyote vya watoto
yatima hapa nchini.
Mama Salma Kikwete akimwagilia mti alioupanda katika kituo hicho wakati alipotembelea kituoni hapo.
No comments:
Post a Comment