Rais Dkt.Jakaya Kikwete amuapisha Waziri wa nchi Ofisi ya Rais asiyekuwa na wizara maalumu Profesa Mark Mwandosya Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Tuesday, 22 May 2012

demo-image

Rais Dkt.Jakaya Kikwete amuapisha Waziri wa nchi Ofisi ya Rais asiyekuwa na wizara maalumu Profesa Mark Mwandosya Ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.



8E9U6073
Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalum Profesa Mark Mwandosya akila kiapo mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue.Na watatu kulia ni Karani wa Baraza la Mawaziri Bwana Gerson Mdemu.

8E9U6081
Profesa Mwandosya akipokea miongozo ya kazi baada ya kula kiapo ikulu.
8E9U6082
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza na kumtakia mafanikio Profesa Mwandosya muda mfupi baada ya kumuapisha ikulu jijini Dar es Salaam.
8E9U6090
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsaidia Waziri wa nchi katika ofisi ya Rais asiye na Wizara maalumu Profesa Mark Mwandosya kushuka katika ngazi za ikulu baada ya kumuapisha.
8E9U6113
Waziri Profesa Mark Mwandosya akiwa katika mazungumzo na Rais Dkt.Jakaya Kikwete muda mfupi baada ya kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *