MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA WA MABINGWA WA SOKA TANZANIA BARA SIMBA SC, PATRICK MUTESA MAFISANGO NA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA RWANDA AMEFARIKI DUNIA LEO ALFAJIRI KWA AJALI YA GARI, WACHEZAJI WA SIMBA WAFURIKA MUHIMBILI - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Thursday, 17 May 2012

MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA WA MABINGWA WA SOKA TANZANIA BARA SIMBA SC, PATRICK MUTESA MAFISANGO NA MCHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA RWANDA AMEFARIKI DUNIA LEO ALFAJIRI KWA AJALI YA GARI, WACHEZAJI WA SIMBA WAFURIKA MUHIMBILI



 Marehemu Patrick Mafisango enzi za uhai wake
 Ramadhabni Wasso akiwa na huzuni.
 Beki wa zamani wa klabu ya Simba, Ramadhani Ramadhani Wasso akiwa akiwa na huzuni baada ya kufika katika chumba cha kuhifadhia maiti asubuhi hii.
 Mshambul;iaji wa Simba Haruna Moshi 'Boban' akiingia katika chumba cha kuhifadhia maiti asubuhi hii kuangalia mwili wa mshambuliaji wa Simba Patrick Mafisango aliyefariki kwa ajali ya gari.
 Bobani akiwa na Said Kokoo
  Ramadhani Wasso akijaribu kuchungulia kupitia mlango kuangalia mwili wa Patrick Mafisango kupitia uliokuwa umehifadhiwa katika chumba cha maiti asubuhi hii.
  Gari lilosababisha kifo cha Mshambuliaji wa kimataifa wa mabigwa wa soka Tanzania na Bara Simba SC,Patrick Mutesa Mafisango Leo Alfajiri.
 Picha na Mdau Francis Dande-Muhimbili

No comments:

Post a Comment