Hali si Hali Zanzibar. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 27 May 2012

demo-image

Hali si Hali Zanzibar.



kanisa1
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.
gari-la-kanisa
Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Bishop Dickson Maganga, lililochomwa moto na watu wasiojulikana usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni 120.
(Picha/Zanzibar Yetu)

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *