WAKUU NA WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 30 April 2012

WAKUU NA WANACHAMA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA ARUSHA



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na maraisi wenzake wakitia saini mkataba wa ulinzi wa nchi hizo wanchama wa Afrika Mashariki.
Wakuu wa wa nchi za jumuiya ya afrika mashariki wakionyesha hati, baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano katika ulinzi wa nchi hizo.
Wakuu wa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja katika Hoteli ya Kimataifa ya Ngurdoto Arusha.

No comments:

Post a Comment