UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MAKATIBU MUHTASI JIJINI MWANZA - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


30 Apr 2012

UFUNGUZI WA KONGAMANO LA MAKATIBU MUHTASI JIJINI MWANZA


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini Tanzania (2th National Secretarial Confrerence) linaloendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
 Muwakilishi wa Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma,Mama Wanderage akitoa salamu za Mkuu huyo wa Chuo kwa Makatibu Muhtasi waliopo kwenye Kongamano hilo.
 Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda akitoa maelezo mafupi ya Kongamano hilo kwa Mgeni rasmi ambaye ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu wakati wa ufunguzi uliofanyika jana kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza,Eng.Evarist Ndikilo akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Pili la Makatibu Muhtasi nchini Tanzania (2th National Secretarial Confrerence) linaloendelea hivi sasa kwenye ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Malaika Beach Resort,Jijini Mwanza.
 Ephraim Kibonde ambaye ndie Mc wa Kongamano hili akifungua rasmi
 Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda akimpatia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu Tuzo ya heshima kwa uwepo wake kwenye Kongamano hilo.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu akiionyesha tuzo ya heshima aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda
 Mwenyekiti wa Chama cha Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),Pili Penda (kulia) akimpokea Mgeni Rasmi katika Kongamano la Makatibu Muhtasi nchini linalofanyika leo kwenue Ukumbi wa Hoteli ya Malaika Jijini Mwanza,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Uwekezaji na Uwezeshaji Dk. Mary Nagu.
Dk. Mary Nagu akisalimiana na Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo.
Na h@ki ngowi.com

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad