Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Awaapisha Mawaziri Wapya Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Apr 2012

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Awaapisha Mawaziri Wapya Zanzibar



 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Ramadhan Abdalla Shaaban,kuwa  Waziri wa Ardhi.Makaazi,Maji na Nishati,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kabla Shaaban,alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Ali Juma Shamuhuna,kuwa Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Amali,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kabla Shamuhuna,alikuwa Waziri wa Ardhi,Makaazi Maji na Nishati.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Suleiman Othman Nyanga,kuwa Waziri wa Kilimo na Maliasili,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana,kabla Nyanga,alikuwa Mjumbe wa Baraza la Mapinduzi na Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuapisha Mhe,Abdilah Jihad Hassan,kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi,jana Ikulu Mjini Zanzibar,kabla Jihad alikuwa Waziri wa Habari,Utalii, Utamaduni na Michezo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri aliowaapisha waliosimama,hafla hiyo ilifanyika jana Ikulu Mjini Zanzibar,wengine Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif,(kushoto)na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kulia).
Picha na Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad