(jamani nilikua porini kulinda kutokuibiwa kwa kura za CHADEMA)JOSHUA NASSARI NI NOMAAA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 4 April 2012

(jamani nilikua porini kulinda kutokuibiwa kwa kura za CHADEMA)JOSHUA NASSARI NI NOMAAA



Mbunge wa Jimbo la Arumeru mashariki Joshua Nassari akiwasili kwenye viwanja vya leganga viwanja ambapo ndipo chadema ilizindua kampeni zake na ndipo iliporudi kutoa shukrani zake za dhati kwa wananchi.
 Mbowe akiwa anatoa shukurani zake kwa wananchi wa jimbo la Arumeru Mashariki kwa kumpa kura kijana wake Nassari.
 Mbunge wa jimbo la Mbeya mjini Joseph Mbilinyi (sugu ) akiwa anakamua mistari kwa wananchi wa Arumeru kama alivyo waahidi iwapo watamchagua Joshua .
Mzee ndessamburo(Ndessa Pesa) mbunge wa jimbo la moshi mjini akiwa anahutubia wananchi waliojitokeza kwenye sherehe hizo ,pia aliahidi kuchimba visima viwili vya maji .
kila mmoja alikuwa na hamu ya kumuona mgombea huku wakiwa wanaburudika na vinywaji vya aina mbalimbali.
Full chademaaaaaaaaaaaaaa

No comments:

Post a Comment