Benki ya Exim yadhamini mdahalo wa vijana wajasiriamali maarufu kama YES Tanzania. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633


PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0676 643 633

Friday, 30 March 2012

Benki ya Exim yadhamini mdahalo wa vijana wajasiriamali maarufu kama YES Tanzania.



RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa  (kushoto) akifafanua jambo wakati wa mdahalo wa vijana wajasiliamali marufu kama YES Tanzania Jijini Dar es Salaam siku ya alhamisi jioni. Katikati ni Mkurugenzi wa Miradi wa taasisi ya Society for International Development (SID) , Aidan Eyakuze na  aliyekuwa Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya Coca-Cola (Kulia)
RAIS Mstaafu Benjamin Mkapa (Kulia) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Exim Tanzania, Anthony Grant wakati mdahalo wa vijana wajasiliamali maarufu kama YES Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi jioni na kudhaminiwa na Benki ya Exim.

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Exim Tanzania, Anthony Grant (kulia) akifafanua jambo kwa Meneja Mkuu wa benki  hiyo Dinesh Arora  (kushoto) wakati wa mdahalo wa vijana wajasiliamali maarufu kama YES Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi jioni na kudhaminiwa na Benki ya Exim.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Exim Tanzania, Anthony Grant (kulia) akibadilishana ‘businesscard’ na Mkurugenzi wa Miradi wa taasisi ya Society for International Development (SID) , Aidan Eyakuze wakati wa mdahalo wa vijana wajasiliamali maarufu kama YES Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi jioni na kudhaminiwa na Benki ya Exim.
Baadhi ya washiriki wa mdahalo wa vijana wajasiliamali maarufu kama YES Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi jioni na kudhaminiwa na Benki ya Exim Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Exim Tanzania, Anthony Grant (aliesimama) akitoa salamu za shukrani kabla ya kutoa zawadi maaluum kwa Raisi Mstaafu Benjamin Mkapa (Kulia) katika mdahalo wa vijana wajasiliamali maarufu kama YES Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi jioni
Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba (kulia) akisalimiana na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa mara bada ya kumalizika kwa mdahalo wa vijana wajasiliamali maarufu kama YES Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam siku ya Alhamisi jioni na kudhaminiwa na Benki ya Exim.

No comments:

Post a Comment