Wananchi wa Mirongoine pamoja na wamoshono wakiwa na mabango yao mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa leo wakati walipoandamana kudai eneo la jeshi la 977 jwtz.
Mmoja wa kiongozi wa wananchi hao walioandamana hadi kwa mkuu wamkoa wa Arusha aliyejulikana kwa jina la Emanuel Masamaki akiwa anatoa malalamiko yao mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha, Bw. Magessa Mulongo pamoja na mkuu wa wilaya ya Arusha hivi leo.
Wananchi wakionyesha mabango yao kuashiria kutokukubali JWTZ kuendelea kuishi eneo hilo, wanachi hao walidai kuwa kikosi 977 JWTZ ndicho kilicho wakuta wao ,hivyo wao waondoke mapema.
No comments:
Post a Comment