STUDIO KALI ZAIDI JIJINI ARUSHA IMEANZA KAZI ... - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 13 March 2012

demo-image

STUDIO KALI ZAIDI JIJINI ARUSHA IMEANZA KAZI ...

wazalendo+25
Hapa tuko kwenye studio ya Nisher iliyopo Njiro-Arusha (Kushoto niliesimama ni CEO wa Wazalendo 25 blog) hii ni studio inayofunika ma studio yote ya Arusha....aliekaa kushoto karibu ni vifaa na anacheka kwa matumaini ndiye Nisher(Producer)...ukiwa unahitaji kurekodi nyimbo za aina zote unakaribishwa sana.wasaliana na Wazalendo 25 blog

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *