HAPPY DAY WITH FRIENDS TO NISHER ENTERTAINMENT TOUR. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 13 March 2012

HAPPY DAY WITH FRIENDS TO NISHER ENTERTAINMENT TOUR.


Ilikuwa ni bonge la week end ambayo kwetu sisi sote tokea mwaka umeanza tulikuwa busy na majukumu, lakini siku iliwadia friends tukaamua kutoka out yani nje kidogo ya mji wa A town, hivi ndivyo ilivyokuwa......

Tukiwa njiani tuliamua ku park gari letu na ku have funny za ukweli, wakati huo tukiwait mgeni wetu kama angeshuka katika huo mpango wa angani unauona hapo pichani??
Baaasi...!!! hapa ni Gadiola wa Wazalendo 25 blog akiwa na jembe letu Kennedy The Remedy kutoka Triple A Radio wakila gu time za week end.Mpango haukuishia hapo, uliendelea........
A a a aa! Tiiiili tili tiliii lii!! Alikuwa kama amenuna hivi wakati tunaanza safari, lakini alijikuta akila happy za ukweli na mchizi wa Asili Yetu blog, baaaasi, safari yetu ikawa ndo imefunguka hivo, unajua nini........
Tayari tulikuwa tumewasili katika mazingira ya Nisher Intartainment mimi pamoja na washikaji wamedia.Kama nilivyo waahidi tulipewa mwaliko week end wa kutembelea studio classic iliyoko maeneo flani ya Njiro Mkoani Arusha.
Tulipark mkoko wetu out side,kila mmoja akihitaji kufika anako kwenda, kulia ni mwana dada Mercy, kati kati ni Gadiola na kushoto ni Kenny. Hakuna raha kama ku have funny with your friends! tulichokikuta huko ndani.......twendelee.

No comments:

Post a Comment