GADNA JAHAZINI LEO.... - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


24 Feb 2012

GADNA JAHAZINI LEO....


Ikiwa ni takriban mwaka na zaidi tangu aachane na kazi ya utangazaji, Gadna G Habash ,kwa mara ya kwanza ameingia katika kipindi cha jahazi na kulisongesha kwa leo. Jamaa ki ukweli ni makli mbayaaa.....

Kibonde akifurahia kuwa kwenye kipindi kimoja tena na Kap kap Kap Ten ...Le GeneRale...!!!!

Kijana Wasi Wasi Mwabulambo, akikaimu nafasi ya Arnold Kayanda ambae anaumwa kwa leo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad