JK AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA LEO IKULU, DAR - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Thursday, 16 February 2012

demo-image

JK AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA KAMISHENI YA UMOJA WA AFRIKA LEO IKULU, DAR

au1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika. Katikati ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime waliomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo. Viongozi hawa wako nchini kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Kilimo toka nchi Saba za Afrika unaofunguliwa kesho (January 17, 2012) Kilimanjaro Hyatt hotel jijini Dar es salaam.
au2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na wageni wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Katikati ni Bw. Erastus Mwencha, Naibu Katibu Mkuu wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika na kushoto ni Kamishna wa Maendeleo ya vijijini na Kilimo wa Kamisheni hiyo, Bi Rhoda Tumusiime.
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *