SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA AHUDHURIA MAZISHI YA MAREHEMU JEREMIAH SUMARI LEO - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 23 January 2012

SPIKA WA BUNGE ANNE MAKINDA AHUDHURIA MAZISHI YA MAREHEMU JEREMIAH SUMARI LEO

Spika wa Bunge Mh. Anne Makinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki Mh. Jeremiah Solomon Sumari kabla ya kuzikwa Kijijini kwao Akheri Mjini Arusha,Huku akifuatiwa na Aliyekuwa Spika wa Bunge Mh. Pius Msekwa ,Mhe. George Mkuchika,Naibu Spika Mh. Job Ndugai ,na Mbunge wa Kigoma Mh. Zitto Kabwe na Aliyekuwa Spika wa Bunge Mh. Samwel Sitta.

No comments:

Post a Comment