ZITTO KABWE AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 16 November 2011

ZITTO KABWE AREJEA NCHINI KUTOKA INDIA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Mh. Zitto Kabwe.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Mh. Zitto Kabwe, aliyekuwa amelazwa hospitali nchini India kwa zaidi ya wiki tatu kwa matibabu, amerejea nchini baada ya kupata nafuu na anatarajiwa kuanza kuhudhuria vikao vya Bunge linaloendelea hivi sasa mjini Dodoma, kuanzia leo.

No comments:

Post a Comment