CHADEMA WAAMUA KULALA KATIKA VIWANJA VYA NMC HADI KIELEWEKE - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 8 November 2011

CHADEMA WAAMUA KULALA KATIKA VIWANJA VYA NMC HADI KIELEWEKE



Matukio ambayo wafuasi wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) walikuwa wanafanya nje ya mahakama wakati wakimsubiri mbunge wao Godbless Lema ambapo licha ya kukaa kwa masaa  zaidi ya nane lakini mbunge huyo hakuletwa mahakamani hapo.

 kila mmoja alikuja kwa kasi akiwa anataka ampokee mbunge wao.

Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa chama Taifa katika kati,Mhe. Dr. Wilbroad Peter Slaa , Katibu Mkuu wa chama wa kwanza kuliapamoja na mmbunge aliyeandamana nao ambaye ni mwanasheria Tundu Lissu wakibadilishana mawazo kabla ya kupanda jukwaani.
 Baadaye katibu wa Chadema Taifa akapanda jukwaani na wakaamua,kwa kuwa polisi  na mahakama wamekataa kumuachia huru mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless Lema basi watakesha katika viwanja vya NMC hadi kieleweke.
 Wote hawa wanasema kuwa wanapigania uhuru na walikuwepo kwenye maandamano.
 Wafuasi wa CHADEMA wakiimba wanamtaka mbunge wao ambaye leo hakufanikiwa kufikishwa mahakamani.
Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe, Mwenyekiti wa chama Taifa akiwaasa wananchi waelekee katika viwanja vya NMC ambapo walikuwa wanafanya mkutano wa chama hicho.

No comments:

Post a Comment