SBC MEDIA WAKIFANYA VITU VYA HAPA. ST JUDE USA-RIVER-ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Friday, 8 July 2011

SBC MEDIA WAKIFANYA VITU VYA HAPA. ST JUDE USA-RIVER-ARUSHA

Director wa SBC MEDIA akipata vitu vya kale..yaani oloshoroo
 Mmoja wa Presenter wa SBC media ,aki launch maigizo ya hapa na pale
 Kijana mmoja wa SBC media akifanya maigizo ya kukata na shoka...
Director wa SBC MEDIA akipata mawili matatu kabla ya kuanza kwa maigizo ya kijadi (Maasai Culture).

SBC MEDIA INAWATAKIA SIKU NJEMA NA YENYE FURAHA TELE.

No comments:

Post a Comment