MGOMO WA DALADALA ARUSHA - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 25 July 2011

MGOMO WA DALADALA ARUSHA

LEO PAMETOKEA MGOMO WA DALADALA,MADEREVA NA WAAJIRI WAKISHINIKIZA SHERIA ZILIZOUNDWA HAPA ARUSHA ZA USALAMA BARABARANI ZIBADILISHWE HARAKA. SUMATRA WANATAKA KWA KILA KOSA MADEREVA NA MAKONDAKTA WAPELEKWE GEREZANI KISONGO ARUSHA.
HAPO HAPO PIKIPIKI MAARUFU KAMA BODABODA ZAPATA FAIDA KWA KUPELEKA WATU MAKAZINI,KWA KILA UMBALI WA KM MOJA NI ZAIDI YA ELFU TANO.

No comments:

Post a Comment