Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Aongoza Sherehe Za Mashujaa Naliendele Mtwara - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


25 Jul 2011

Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Aongoza Sherehe Za Mashujaa Naliendele Mtwara



1. Amiri Jeshi mkuu, Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka silaha za jadi katika mnara wa kumbukumbu ya mashujaa wa vita vya Msumbiji huko Naliendele, Mtwara leo asubuhi katika maadhisho ya siku ya mashujaa iliyofanyika kitaifa mkoani Mtwara.
2. Mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Jenerali Davis Mwamunyange(kushoto) akimuongoza Amiri jeshi mkuu Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kukagua na kutoa heshima katika makaburi 101 ya mashujaa wa vita vya Msumbiji leo  asubuhi wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya mashujaa iliyofanyika huko Naliendele mkoani Mtwara.
3. Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wazee walioshiriki katika vita kuu vya vipi vya dunia  chini ya jeshi la mkoloni(Picha: Freddy Maro).
kwa hisani ya: Mjengwa Blog

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad